SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, September 19, 2013

Wafanyakazi zaidi ya 800 wa kiwanda cha kusindika Chai cha Usambara waandamana.


Wafanyakazi zaidi ya 800 wa kiwanda cha kusindika Chai cha Usambara mashariki kilichopo Tarafa ya Amani Wilayani Muheza,wamefanya maandamano makubwa kisha kwenda kufanya uharibifu kwa kuvunja vioo vya ofisi ya meneja mkuu wakimshinikiza mwekezaji wa kiwanda hicho amuondoe meneja wake kwa sababu amekuwa akivunja sheria za kazi nchini.

0 comments:

Post a Comment