SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 29, 2013

DK.SHEIN AANZA RASMI ZIARA YAKE NCHINI CHINA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwatambulisha Viongozi katika ujumbe aliofuatana nao kwa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Xi jinping, walipofika Ikulu ya Mjini Beijing Nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto)akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping,(wane kulia) katika Ikulu ya Mjini Beijing Nchini China leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Rais wa China Li Yuanchao,katika makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika mazungumzo na Makamo wa Rais wa China Li Yuanchao,katika makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili nkulia)akiwa katika mazungumzo na Makamo wa Rais wa China Li Yuanchao,(kulia)katika makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo,pamoja na ujumbe aliofuatana nao leo.
MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN AKISALIMIANA NA MKE WA MAKAMO WA RAIS WA CHINA MAMA LI YUANCHAO,ALIPOWASILI KATIKA MAKAAZI YA MAKAMO WA RAIS MJINI BEIJING NCHINI CHINA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI.
MKE WA RAIS WA MAMA MWANAMWEMA SHEIN AKISALIMIANA NA MAKAMO WA RAIS WA CHINA LI YUANCHAO,ALIPOWASILI KATIKA MAKAAZI YA MAKAMO WA RAIS MJINI BEIJING NCHINI CHINA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI,KATIKATI NI RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN.
MKE WA MAKAMO WA RAIS WA CHINA MAMA LI YUANCHAO,AKISALIMIANA NA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOAHAMED SHEIN, KATIKA MAKAAZI YA MAKAMO WA RAIS MJINI BEIJING NCHINI CHINA AKIWA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI.

MUHIDIN MICHUZI-Michuzi Matukio

0 comments:

Post a Comment