WaziriMkuu,
Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa
Sumve, Richard Ndassankwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12,
2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Mwibara, Kangi
Lugola kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (kulia)
na Leticia Nyerere wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Aprili 12, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (wapili
kulia) na Leticia Nyerere wa Viti Maalum (kushoto) na Agustino Masele
wa Mbogwe (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12,
2013.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment