SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, April 29, 2013

Kipimo cha Kisukari hiki hapa…

Kipimo cha Kisukari hiki hapa…

Ndugu Msomaji.
Kwa miaka mingi sana sasa gonjwa baya la kisukari linasumbua wapendwa wetu na hata sisi wenyewe kwa mateso makali huku likitishia kutokuwa na tiba kamili. Rumours Africa bado ipo palepale kutoa msaada kwa wenye matatizo haya katika jamii toka miaka mitano sasa na hatutapumzika kuhakikisha kuwa tuko mbele daima kutoa msaada.

ACCU-CHEK Active. Kipimo bora cha kisukari…
Wagonjwa wengi wanaishi na ugonjwa huu bila kujua namna ya kuukabili ikiwemo kujipima kila siku kama madakitari wanavyo sisitiza ili kuwa na rekodi sahihi zitakazosaidia kuudhibiti ugonjwa huu. Wengi huwa hawajipimi kwa kutojua, lakini lipo pia kundi linalopima mara kwa mara mahospitalini, lakini wapo pia wasiojua kuwa wanapaswa kujipima na kutunza rekodi za mara kwa mara.

Wapo tena ambao wao hawajui watavipata wapi vipimo hivi. Kwa kulitambua hili, leo Rumours Africa imekuletea kipimo hiki ili kila mgonjwa wa maradhi haya aje akinunue na akakiweke ndani na awe anajipima kila siku kwa ajili ya kujitambua pale mabadiliko yanapomtokea na kubaini chanzo kirahisi.
Unaweza ukajipima kwa kipimo hiki mara moja kwa kutwa na ukawa na jibu lenye uhakika kama sukari imepanda au la. Lakini kitaalamu ni kwamba unatakiwa ujipime kila baada yam lo kwa kuwa jikoni ni maabara ya kuzalisha kemikali zinazoliwa hivyo zinaweza kumjenga, kumbomoa, au hata kumuua mtu kama mpishi hana elimu juu ya vyakula na ndio maana wenye akili na pesa ya kutosha huajiri mpishi kwa sababu mkeo sio mpishi wako ndugu Mtanzania na desturi ya kuwafanyisha kazi za jikoni wake zetu kwa hakika kabisa huwa inatugharimu sana na hakuna anayejua wala kujali. Mke ni mpishi wako kweli jamani?
Hivyo kujipima kisukari kila siku utapata majibu yafuatayo kwa urahisi sana;
  • Je kipimo kinaonyesha dawa unazotumia zinakusaidia?
  • Je, Vyakula ulivyokula vimepandisha sukari kwenye damu yako?
  • Je, Mihangaiko na shughuli zako zinakusulubu kiasi cha kuvuruga mfumo wa damu mwilini mwako?
Naweza nikaongea mambo mengi sana juu ya gonjwa hili, lakini nitakuwa mwehu kama sijawashukuru wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi haya kwa ushirikiano wao kwangu. 
Kama wapo wanaokumbuka tulianza na kuchanganya mdalasini na magadi na dawa ile iliwatibu baadhi yenu kwa uhakika sana lakini wengine hawakupona kabisa. Lakini cha kushangaza hakuna aliyeniona Tapeli na tulikaa pamoja Mungu akatusikia kilio chetu na hakika tumepata hii Diabetes Complex toka Afrika Kusini sasa kila kitu ni shwari maana dawalishe hii inatibu aina zote za kisukari kwa uhakika ajabu!

Diabetes Complex Kiboko ya kisukari ipo pia…
Ambao mmekuja kuichukua na kuitumia nadhani mtakuwa mashahidi wazuri wa Diabetes Complex na nadhani sasa kama mtapata hiki kipimo pamoja na maelezo ya kudhibiti ugonjwa huu basi kisukari itabaki historia tu kwa watakao ikubali dawa hii.
Ukihitaji kipimo au dawa, fika temeke mwembeyanga pale KWADU MIKOMA GARAGE duka ni la saba kushoto mwa geti, au fika Machinga Complex pale Karume Ilala kizimba No. 37F utapata dawa hii pamoja na kipimo pia. Lakini unaweza pia kupiga simu kwa uhakika zaidi wa kukipata kabla hujafunga safari ya kukifuata maana huwa havikai watu wanavigombania sana.

Asanteni kwa kunisoma, Karibuni sana 
Rumours Africa…
John Haule
0768 215 956
rumoursafrica@gmail.com

*****

Dabur Herbal Toothpaste….

Wasomaji wangu wapenzi.
Kama ilivyo kawaida ya Rumours Africa kila siku ipo katika kukuletea minong’ono bila kujali ni katika nyanja ipi, ila kuhakikisha sikio lako halikosi habari za leoleo zihusuzo suluhisho kwa matatizo ya kijamii kwa ujumla.
Kama kawaida leo nakuletea taarifa ya ajabu sana, lakini imefanyiwa utafiti wa kutosha na kujulikana kuwa ni kweli kabisa.
  Kuna Ukweli kuwa miti ni viumbe hai wasiotembea. Toka enzi hizo kumekuwa na uhusiano mkubwa sana kati ya binadamu na mimea kwa njia nyingi tofauti ikiwemo ujenzi, kuni, fanicha na mengineyo mengi kama tiba na hasa leo nitazungumzia tiba ya kiroho ambayo ilinifanya niagize dawa za mswaki za Dabur kwa ajili yako msomaji wangu baada ya kugundua kuwa zina miti tiba ndani inayoweza kuponya meno mabovu hasa yenye bacteria, lakini kumbe kujitia harufu ya mti uitwao Basil kama ilivyo moja ya dawa hizi za meno, basi mtumiaji utakuwa umejifukiza bahati nyingi sana hasa katika kauli za mdomo wako kwa siku hiyo! 

Majani ya mmea wa Basil:
Basil ina mafuta muhimu yenye tiba za asili kibao! Msomaji wangu ukichoma majani ya Basil nyumbani kwako mara kwa mara inaaminika kuwa utawavuta wema na kuwafukuza wabaya bila wao kujua lakini pia utaanza kuona neema zinaanza kutawala ndani ya nyumba yako. Ukitaka kuilinda nyumba yako, ofisi au hata gari lako basi inaaminika toka miaka mingi sana kuwa ukidondoshea matone ya Basil katika kila kona kwa ndani basi utashangaa wabaya wako wanaanza kuogopa kuingia humo! Pia, unaweza ukadondoshea matone kidogo katika maji ya kuoga asubuhi kama unataka kuingia kazini ukiwa na bahati na ulinzi wa kutwa nzima pia. 
Basil pia inasaidia kurudisha mahusiano yaliyovunjika na kuyalinda yale yaliyoko hatarini kuvunjika bila kujali ni ya kikazi, kimapenzi, kifamilia nk. Basil pia, huifanya familia, wapenzi, marafiki na wafanyakazi wenzako kuwa na imani pamoja na furaha nawe. Lakini, uwapo katika kundi la watu huwezi kumjua mbaya wako hivyo pia mafuta haya ya kiroho hukulinda na mabaya yoyote yanayoweza kukupata wewe msomaji wangu na uwapendao.
Katika kuhakikisha kuwa wasomaji wangu mnapata kilicho bora toka katika mti tiba huu nimewaleteeni Dabur Herbal Toothpaste ambayo ina basil ndani yake. Hii ni katika kukuhakikishia ndugu yangu kuwa utaona mabadiliko makubwa sana kila utakapoongea na watu maana watakuwa wanazikubali kauli zako na kuziheshimu kwa kiwango ambacho hukukiona awali…
Lakini, Wenye historia ya meno mabovu wao ndio hasa wanaihitaji zaidi maana hawa watapiga ndege wawili kwa jiwe moja yaani watapata tiba na Baraka za mti huu mjanja duniani, ila wao sasa watalazimika pia kuchukua dawa maalum ya kusafisha mdomo usiwe na harufu kali wanapoongea na ninazo aina kama tano kukuhakikishia uhakika wa tiba ya meno huku ukivuna Baraka za mti huu.

Listerine Mouthwash za kutoa harufu kali mdomoni.
Ukihitaji Dabur Herbal Toothpaste ya Basil basi uje Rumours Africa Temeke mwembeyanga duka la saba kushoto mwa KWADU MIKOMA GARAGE ambako inauzwa kwa shilingi elfu ishirini tu pamoja na mswaki wake na ukihitaji pamoja na mouth wash yake ni shilingi elfu arobaini na tano tu. Au tupigie simu nasi tutakusaidia namna ya kufika.
Asanteni sana kwa kunisoma na Mungu awabariki sana,
John Haule
rumoursafrica@gmail.com
+255 768 215 956
Temeke Office
Dar Es Salaam – Tanzania.
Tembelea tovuti hii kujua umuhimu wa Basil. 
http://www.spiritualcupboard.com/ESSENTIAL_OILS.html
Habari hii inapatikana pia katika gazeti TABIBU kila siku ya alhamisi asubuhi popote Tanzania.

0 comments:

Post a Comment