SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 25, 2013

Rais Jakaya Kikwete Achangisha Millioni 110 Harambee ya Jimbo la Ukonga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo jimbo la Ukonga jana jioni ambapo jumla ya Shilingi 462m/ zilipatikana ikiwa ni ahadi na fedha taslimu. Rais Kikwete alichangia jumla ya shilingi 110m/-Wakati wa harambee hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana jioni.Kulia ni mbunge wa ukonga Eugen Mwaiposa na wapili kushoto ni mwenyekiti wa ukonga SACCOS Advera Ruge

0 comments:

Post a Comment