
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kuaindua rasmi Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia jijini Arusha akiongozana Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho

Rais Kikwete akipata maelezo juu ya utafiti mbalimbali unaofanywa na wanafunzi Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia jijini Arusha


Maelezo ya utafiti

Mdau akielezea utafiti wake








Meza ya Serikali ya Chuo



Maua kwa mgeni rasmi

Kukata utepe

Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua sanamu ya Mzee Nelson Mandela

Sanamu ya Mwalimu Nyerere ikizinduliwa

Mgeni rasmi akisindikizwa kuelekea meza kuu

Ni siku ya furaha na fahari kwa mdau Pallangyo

Uzinduzi wa plaque ya Taasisi

Maelezo ya utafiti wa vyakula na madawa asilia

Wageni Mashuhuri wakiwa jukwaa kuu

Wakuu wa Mifuko ya Taifa ya Jamii

Viongozi mbalimbali

Wageni mashuhuri jukwaa kuu

Kwaya ya Chuo ikiwa kazini

Burudani toka bendi ya Polisi

Ngoma ya wasanii wa JKT Oljoro

Kwaya ya JKT Oljoro ikitumbuiza

Dr Frannie Leautier, ACBF Executive Secretary speaks

Rais Kikwete akipokea zawadi toka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Burton Mwamila huku Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Chuo akishuhudia

Maelezo ya utafiti wa DNA

Rais Kikwete akiongea na waalikwa

Rais Kikwete akikabidhi hati ya kiwanja cha chuo


Wageni wakishangilia

Sauti na muziki toka Clouds FM Arusha

Rais Kikwete akisalimiana na Mzee Edwin Mtei

Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari

Ni wakati wa picha za pamoja na wadau
Chanzo Michuzi-Matukio




0 comments:
Post a Comment