
Afisa Masoko wa Kampuni ya simu za mkononi tigo, Jacquiline Nmunduma (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo kuhusu huduma mpya ya ‘Pre-paid international Roaming’ inayowawezesha wateja wao wa malipo ya kabla kutumia namba zao za tigo kwa mawasiliano ndani ya Afrika Mashariki kwa bei nafuu. Katikati Tuli Mwaikenda Afisa Uhusiano wa kampuni hiyo na Kulia ni Meneja Huduma na Mawasiliano Nje ya Nchi.




0 comments:
Post a Comment