SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, October 6, 2012

Familia ya Watu 8 Yateketea Hadi Kufa


Familia ya watu 8 iliteketea hadi kufa katika moto uliozuka nyumbani mwao katika shule ya upili ya Malindi usiku wa kuamkia leo. 
Familia hiyo ya naibu mwalimu mkuu wa shule hiyo ilikuwa imelala wakati wa mkasa huo ulipotokea. Inasemekana kwamba moto huo ambao chanzo chake hakijabainika ulizidishwa makali na kulipuka kwa piki piki mbili ambazo zilikuwa ndani ya nyumba hiyo. Taarifa hiyo ya Esther Kahumbi ndiyo inayotufungulia nipashe.

0 comments:

Post a Comment