SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, August 16, 2012

WASHIRIKI WA SHINDANO LA REDD'S MISS ILALA 2012 WATAMBULISHWA KWA WANAHABARI

Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2012, Gadner G Habash akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge wakati wa kutambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redd's Miss Ilala 2012 ambapo washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redd's Miss Tanzania, Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano hilo, Juma Mabakila. Jumla ya warembo 15 watashiriki kwenye kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika 07/09/2012 kwenye ukumbi wa nyumbani Lounge.
 
 Warembo wanaoshiriki kwenye shindano la Redd's Miss Ilala 2012 wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa utambulisho huo. 
(Picha na Intellectuals Communications Limited)

0 comments:

Post a Comment