SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, August 16, 2012

SIMBA YATAMBULISHA 'SILAHA' MPYA

 
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ (katikati), akiwatambulisha wachezaji wapya  mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pop (kushoto), akimkabidhi jezi mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Daniel Akuffor, kutoka Ghana.
 
Hans Pop akimkabidhi jezi beki wa Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars, aliyejiunga na Simba, Paschal  Ochieng.
 
 Wachezaji hao wakiwa kwenye picha ya pamoja.
VONGOZI wa klabu ya Simba jana ulitambulisha wachezaji wake wawili wa kimataifa iliyoingia nao mkataba wa miaka miwili. Utambulisho huo ulifanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
                                                             PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

0 comments:

Post a Comment