SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, July 7, 2012

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI RUVUMA

Wakuu wa vikosi vya Jeshi la wananchi wakiwa uwanja wa Ndege Luhuwiko waki mngoja waziri Mkuu Mh Mizengo Kayanza Pinda
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh.Said Thabit Mwambungu akiwa na Maafisa wa Vikosi vya Jeshi akimngoja Waziri Mkuu uwanja wa Ndege Luhuwiko Songe
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda akiwa ana salimiana na viongozi Mkoa wa Ruvuma aliye vaa Joho jekundu ni Msiki Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda Mara baada ya Kuwasili uwanja wa Luhuwiko Songea
Mkuu wa Mkoa Mh.Sabiti Mwambungu akimpokea waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda
Naibu Meya wa Manspaa ya Songea Mariamu Dhizumba akipeana Mkono na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda
Mh.Jenista Mhagama akiumana sikio na Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma katika viwanja vya Ikulu Songea
Mbunge wa Mbinga Magharibi Gaudence Kayombo akiwa na katibu wa CCM Mkoa na mbunge wa Tunduru wakipeana Mawazo Viwanja vya Ikulu ndogo Songea
Mlinzi wa Katibu wa CCM Mkoa akitekeleza kazi yake ya Ulinzi huku akiwa mkakamavu
Jaji mfawidhi wa Makama kuu ya Kanda ya Songea Mh.Peter Chocha akiwa na Jaji mwenzie
Dakitali Chanangula akiwa uwanja wa Ndege akingoja Msafara wawaziri Mkuu huku akiangalia huku na kule kuangalia kama kuta tokea mgonjwa
RTO Mkuu wa vikosi vya usalama Barabarani ,Mkuu wa Kikosi cha kutuliza ghasia na RCO mKUU WA Upelelezi mkoa wa Ruvuma wakiwa katika kuangalia hali ya hewa uwanjani

0 comments:

Post a Comment