Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula, Mh.Adam Malima akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini jinsi gani wamefanikiwa kutatua tatizo la umeme kwa kuleta majenereta manne na ule umeme unaotoka Zambia.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Itikadi na Uenezi Nd. Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga Mjini,Mkoa wa Rukwa akiwa na Mh.Charles Tizeba,Naibu Waziri Uchukuzi.
- Mh. Ole Nangolo, Naibu Waziri Mifugo akizungumzia utekelezaji wa ilani ya CCM katika sekta ya mifugo,kwa wananchi wa Sumbawanga mjini.
21-Wai
Waziri wa maji, Prof.Jumanne Maghembe akiwahakikishia wananchi wa mkoa wa Rukwa kwamba kero ya maji imeshapatiwa ufumbuzi na karibuni watakuwa hawana usumbufu kabisa.
Mh.Mwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini mkoani Rukwa akiwapasha masuala mbali mbali ya kiuchumi na jinsi serikali inavyofanyia kazi mambo ya msingi ya wananchi.
Mh Nape na Mh.Mwigulu Nchemba wakihutubia wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini mkoani Rukwa akiwapasha masuala mbali mbali ya kiuchumi na jinsi serikali inavyofanyia kazi mambo ya msingi ya wananchi.
Naibu Waziri TAMISEMI,Mh. Aggrey Mwanri akiwataka akihutubia wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini katika viwanja vya shule ya sekondari Msakila.
0 comments:
Post a Comment