SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 12, 2012

HABARI MPYA KUTOKA BIRMINGHAM JIJI NI KUTOLEWA KWA VIDEO MPYA (AFRIKA YETU )ILIYOTUNGWA NA BUBELE KIHAYILE AKISHIRIKIANA NA MKE WAKE DIANA.PATA PICHA ZA MATAYARISHO KWANZA NA BAADAYE VIDEO

Bubele na Diana wakiwa katika kazi ya kurekodi video ya Afrika Yetu.
Diana Kihayile akiwa tayari kwa kuanza kazi ya kurekodi video ya Afrika yetu.
Washiriki wakiwa katika picha pamoja
Picha za matayarisho ya video ya AFRIKA YETU

0 comments:

Post a Comment