Baadhi ya wafanyabiashara soko la soweto jijini mbeya wakiwa katika makundi makundi kujiandaa kwa maandamano kupinga ongezeko la ushuru wa soko toka sh 200 na kuwa sh 300 kwani wanadai ongezeko hilo nikubwa na hawaelewi pesa inakwenda wapi maana soko ni chafu mazingira ya kufanyia biashara hayafai.
Kama uonavyo Pichani soko Jeupe hii ina ashiria "Hakuna Kazi Mgomo Tuu"!!
Baadhi ya vijana wakijiandaa kuchoma matairi
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la soweto wakipeana mikakati ya mgomo huo
Wateja wakiwa wanashangaa na hawajui la kufanya maana hakuna kinachouzwa sokoni hapo
Chanzo: Mbeya Blog.
0 comments:
Post a Comment