SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 8, 2012

Taswira Za Maandamano ya Wanaharakati Jijini Dar es Salaam Leo Wakiomba Serikali Kukaa Meza Moja Na Madaktari Kwa Lengo La Kumaliza Mgomo

Wanagharakati wakiwa na mabango yao leo kwenye maandano eneo la salender brige jijini Dar es salaam.


 Wadau Mbalimbali walioshiriki kwenye Maandamano ya Wanaharakati.
 Mmoja wa Waandamanaji. 
Mama Kijo Bisimba-Mkurugenzi wa LHRC akiongea na Waandishi wa Habari kwenye Maandamano hayo.
Mama Kijo Bisimba-LHRC Mkurugenzi nae akiwa kwenye maadamano hayo ya wanaharakati muda mfupi uliopita jijini Dar es Salaam
Viongozi wa Jeshi la Polisi wakihakikisha hali ya usalama inakuwepo.

Jeshi la Polisi likitoa maelekezo ya kutawanya maaandamano hayo ya wanaharakati yaliyofika katika ya jiji la Dar es Salaam Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea Nchini wameandamana na wamekusanyika hapo salender bridge...Kituo Cha Legal and Human Rights Centre, wakishirikiana na asasi nyingine nyingi za kiraia, waliandaa maandamano ya amani Leo saa tisa mchana leo mabapo walianzia  Salendar Bridge Wakiwa na mabango kibao wakiishinikiza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Mganga Mkuu Wizara ya Afya wafutwe kazi mara moja; madaktari warudi kazini mara moja; serikali na madaktari wakae meza moja na kujadili masuala muhimu ya afya, na wafikie makubaliano ndani ya miezi mitatu.Picha na Habari na Mdau Fakhi Karume na 

Legal and Human Rights Centre

0 comments:

Post a Comment