SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, January 31, 2012

KASESHE LA WAOSHA MAGARI KATIKATI YA JIJI LA MBEYA WATIMULIWA MCHANA WA JANA!!

Mmoja kati ya vijana waosha magari katikati ya jiji la mbeya akibebwa juu kwa juu mara baada ya kukamatwa na mgambo, halmashauri ya jiji imewapiga marufuku vijana hao kuosha magari katikati ya jiji kwani wanachafua barabara na kuwasumbua wenye magari kuwalazimisha kuwapa hela.
Utadhani jamaa anacheza Sarakasi lah! ni katika kutaka kujitoa mikononi mwa Mgambo.
Mgambo wa jiji la mbeya wakiwakamata vijana waosha magari.
CHANZO: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment