Afisa uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Jane Matinde akizungumza kwa niaba ya Airtel juu ya udhamini wao na kushirikiana na lotary club katika kampeni ya kupunguza ajali barabarani kwa kuepusha matumizi ya simu wakati wa kuendesha na kutoa ushauri kwa wateja na watanzania kutumia vifaa maalumu vya kuongelea au kuegesha magari yao.
Meza kuu kabla ya kufanya uzinduzi wa kampeni usalama barabarani iliyoandalia na lotary club na kushirikiana na jeshi la polisi usalama barabarani na Airtel Tanzania iliyofanyika Serena Hotel Dar es Saalam na kuhudhuriwa na Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani (SACP) Mohamed Mpinga, Pichani (watatu kutoka kushoto) na wapili kushoto ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde.
0 comments:
Post a Comment