
Mbunifu wa Kimataifa Sheria Ngowi akigawa Maji Kwa Wagonjwa Wa saratani

Sheria Ngowi akimsikiliza kwa Makini Mange Kimambo akitoa Maelezo juu ya Mtoto anaesumbuliwa na kansa ya taya


Sheria Ngowi akimjulia Hali Mtoto anaesumbuliwa na Saratani ya tumbo

Dk Mwele Malecela akifurahia jambo na mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho

Kiki Akicheza na mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho

Rubani Hilda Ringo Nae Alikuwepo

Mama Mzazi wa Mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho akieleza Kwa Makini Jinsi Ugonjwa huo unavyomsumbua mwanae

Dk Mwele Malecela akipanga zawadi mbalimbali muda mfupi kabla ya kuanza kuzigawa kwa watoto wenye matatizo ya saratani jijini Dar es salaam

Mama Mzazi akiwa na Mtoto wake anaesumbuliwana saratani muda mfupi baada wadau mbalimbali kutembelea hospitali ya taifa ya muhimbili na kutoa zawadi mbalimbali.Kwa picha na Maelezo zaidi
BOFYA
0 comments:
Post a Comment