Picha inayoonekana huenda ikakutisha lakini ukizizuia hisia zako ukatizama na kupata maelezo, utafahamu kuwa woga ulio nao si dhahiri bali unatokana tu na hisia zilizojengeka ndani yako juu ya uchungu wa maumivu ya kuumia unapokatwa na kisu.
Mimi pia nilijikaza sana na kuzizuia hisia zangu za woga katika dakika chache za awali, lakini kwa kuwa nilitaka kujifunza, nilipiga moyo konde, woga ukapungua kadiri muda ulivyosonga na baada ya kugundua siri, nilijicheka.
Inayoonekana hapo ni sehemu ya pili ya video inayoelezea siri hizo. Ili kutizama sehemu ya kwanza kuzijua mbinu tangu mwanzo hadi mwisho za wanavyofanya waganga, washirikina na waaguzi matapeli, Bofya hapa chini.
Source:
Youtube
Wavuti
0 comments:
Post a Comment