
Raisi Kikwete akiongea na waathirika wa mafuriko waliopewa hifadhi katika shule ya msingi mchikichini jana


Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliokuwa upande wa pili wa mto Msimbazi katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo jijini humo.

Raisi Kikwete akikagua moja ya vyumba vya madarasa walipohifadhiwa waathirika wa mafuriko katika shule ya msingi ya mchikichini mbele yake ni mbunge wa ubungo-Chadema Mheshimiwa John Mnyika

Raisi Kikwete akisalimiana na Mmoja wa Viongozi wa Serikali za Mitaa Jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akifunua kuangalia chakula kinachotolewa kwa waadhirika wa Mafriko Jijini Dar es Salaam

Raisi Kikwete akiongozana Na Viongozi Wa Jiji la Dar es Salaam

Raisi Kikwete akitoa neno la Pole kwa waathirika wa mafuriko.

Raisi Kikwete akitoa neno la Pole kwa waathirika wa mafuriko.

Waathirika Wa Mafuriko wakimshangilia Raisi Kikwete mara baada ya kuwaahidi misaada na maeneo ya kuhamia

Waathirika Wa Mafuriko Wakimsikiliza Raisi Kikwete wakati alipofika kuwafariji jana.
Picha na IKULU.
0 comments:
Post a Comment