
Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally akikaribishwa ikulu na Rais Jakaya Kikwete



Rais Jakaya Kikwete akiukaribisha auongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam leo na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally


Rais Jakaya Kikwete akipokea Mapendekezo Mbalimbali kutoka kwa uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam

Kiongozi wa Cuf akisoma Muktasari


Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Salvatory Rweyemamu(kulia)akiwa na Viongozi wengine Waadamizi wa Serikali Kwenye Mkutano wa Rais Jakaya kikwete na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam


Rais Jakaya Kiwete akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis


Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis akiagana na Rais Jakaya Kikwete ikulu leo


Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Uratibu na mahusiano, Steven Wassira(kulia)akiagana na Viongozi Mbalimbali wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo Muda Mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais Jakaya Kikwete .
Picha Zote na IKULU
0 comments:
Post a Comment