
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE TAYARI KUHUDHURIA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA RAIS WA ZAMBIA NA MWENYEKITI WA ICGLR ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH MICHAEL CHILUFYA SATA (SHOTO) NA RAIS MWAI KIBAKI WA KENYA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA

RAIS SATA AKIMKABIRDHI RAIS MUSEVENI UNENYEKITI WA ICGLR MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA

WAJUMBE MBALIMBALI WA MKUTANO HUO WAKIWA KATIKA UKUMBIWA MKUTANO.

RAIS jAKAYA kIKWETE AKISALIMIANA NA JOSEPH BUTIKU MKURUGENZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE FOUNDATION WAKATI ALIPOWASILI NCHINI UGANDA LEO ASUBUHI KATIKATI NI WAZIRI WA SOPHIA SIMBA WAZIRI WA JINSIA WANAWAKE NA WATOTO.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment