
Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya ya Moshi

Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya ya Moshi


Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya solar toka kwa Bi Jaina Msuya wa banda la mradi wa Umeme vijijini

Rais Kikwete akipata maelezo juu ya mashine ya kuatamia kuku katika banda la Kilimo na ufugaji

Rais Jakaya Kikwete katika banda la TRA



Rais Jakaya Kikwete katika banda la Ofisi ya Rais

Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni banda la Benki Kuu

Rais Kikwete akiangalia bonge la boga

Rais Kikwete akipata maelezo ya mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali kwenye banda la JWTZ

Rais kikwete akitembelea bustani ya wanyama pori katika banda la Wizara ya Maliasili na utalii

wapiga picha wakiwa kazini wakati wa ziara hiyo. Juu ni Robert Okanda wa Daily News na chini ni Richard Mwaikenda wa Jambo Leo.
Picha na Zote na IKULU.
Picha na Zote na IKULU.
0 comments:
Post a Comment