
Familia ya Gozza waliopo Tanzania, Uingereza na Marekani,inasikitika kutangaza kifo cha dada yao mpendwa Salama Jaffari Marzouk,kilichotokea jana usiku katika hospitali ya St Bernard Tanzania. Mazishi yatafanyika leo. Msiba upo mtaa wa Mzumbe magomeni.
R.I.P Da Salama.
0 comments:
Post a Comment