SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, December 10, 2011

Miaka 50 Ya Uhuru:Rais Jakaya Kikwete Awatunuku Tuzo/Nishani Viongozi Mbalimbali Nchini

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwakilishi wa Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere wakati wa sherehe ya kutunuku nishani iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akimpatia tuzo ya heshima, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
Rais Jakaya Kikwete akimpatia tuzo Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Wiliam Benjamin Mkapa
  Rais Jakaya Kikwete akimpatia tuzo Waziri Mkuu mstaafu,Salim Ahmed Salim
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwakilishi wa Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere wakati wa sherehe ya kutunuku nishani iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam jana

0 comments:

Post a Comment