
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akizungumza kwenye Mkutano huo jana


Mbunge wa Ubungo -Chadema Mheshimiwa John Mnyika akiongea kwenye mkutano huo,Kulia ni Katibu Mkuu -Chadema Dk Wilbrod Slaa

Mbunge wa Kawe-Chadema Mheshimiwa Halima Mdee akiwa meza kuu muda mfupi kabla ya kuchangia mada kwenye kikao hicho Jana

Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Wilbrod Slaa akiteta jambo na Mbunge wa Kawe-Chadema Mheshimiwa Halima na Mdee Meza kuu wakati wa mkutano wao jana

Katibu Mkuu-Chadema Dk.Wilbrod Slaa akisikiliza mada inayotolewa na Halima Mdee

Mh.Grace Kiwelu na baadhi ya viongozi wa Chadema

Baadhi ya viongozi wa chadema Dar es salaam wakifuatilia mkutano wa kuelimisha umma juu ya mapungufu ya sheria ya katiba mpya. mikutano imefanyika nchi nzima sasa

Jana kwenye ukumbi wa Kiramuu Mbezi beach high school jijini Dar es Salaam, viongozi wote wa chadema wanapata mafunzo juu ya ubovu wa sheria ya katiba mpya
0 comments:
Post a Comment