SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, November 1, 2011

UNFPA Yasherehekea Kilele Cha dunia Kufikisha Watu Bilioni 7, Yatoa Msaada Hospitali Ya Temeke Jijini Dar Jana.

Julitta Onabanjo akiwapa pole na hongera kwa akina mama wazazi waliojifungua usiku wa kuamkia leo,kwenye hospitali ya Temeke,ambapo Dunia ilikuwa inatimiza idadi ya Watu bilioni 7.
Julitta Onabanjo akiwa na akina mama 7 waliojifungua usiku wa kuamkia leo,ambapo kupitia shirika la mfuko wa idadi ya watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA)-Tanzania lilitoa msaada wa vitu mbalimbali kwa akina mama hao ikiwemo pia hospitali  hiyo kwa kupatiwa vifaa mbalimbali vya watoto.
Habari Zaidi Endelea  =======>>>

0 comments:

Post a Comment