Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mhe Sheikh Sultan Mohamed Al Qasimi,alipowasili katika makaazi yake Mjini Sharja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na ) Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kulia) na (wa pili kushoto) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme, alipotembela chuo cha Afya ya sayansi ya Sayansi Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akuipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanya bishara,wenyeviwanda Amed Mohammed Al Midf,alipotembelea kituo cha jumuiya hiyo na kuangalia baadhi ya bidhaa mbali mbali katika kituo hicho,Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia baadhi ya vifaa , alipotembelea kuona mambo ya kihistoria wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah,(kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kushoto) na (kulia) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme,alipotembelea katika chumba mafunzo ya udakatari Chuoni hapo Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo alipotembelea kuona mabo ya kihistoria kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa wa wakumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah.
Picha na Ramadhan Othman,ikulu-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment