Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe baada ya kupokea mapendekezo ya chama hicho juu ya kuundwa katiba mpya yatayozungumzwa kwenye mkutano huo wa kihistoria uliofanyika jana Ikulu jijini Dar es salaam
----
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete na ujumbe wa serikali yake pamoja na viongozi wa Chama cha Demokrasia
naMaendeleo (CHADEMA), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho
MheshimiwaFreeman Mbowe leo, Jumatatu Novemba 28, 2011 wamemaliza mkutano wao wa siku mbili Jijini Dar es salaam kuhusu Muswada wa sheria ya mabadiliko ya
Katiba wa Mwaka 2011.
Mkutano huo uliofanyika Ikulu umefanyika katika mazingira ya maelewano
Pande mbili zimekubaliana kama ifuatavyo:-
1. 1.Pamoja na sheria hiyo kupitishwa na Bunge ipo haja ya kuendelea
kuiboresha ili ikidhi mahitaji na kujenga kuaminiana na muafaka wa
Kitafa.
2. 2. Kwamba yawepo mawasiliano na mashauriani ya mara kwa mara
kati ya serikali na wadau mbalimbali juu ya kuboresha sheria hiyo kwa lengo
la kudumisha muafaka wa Kitaifa kwenye Katiba Mpya.
Imesainiwa na;

Mhe. John John Mnyika
----------
----------
Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema.
Mhe. John Emmanuel Nchimbi
-------------
Waziri wa Habari, vijanaUtamaduni na Michezo

0 comments:
Post a Comment