SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 14, 2011

Kijana Aliyefariki Kwenye Vurugu Mkoani Mbeya Azikwa

Kelvin enzi za uhai wake
Akina mama wakimbembeleza mama yake Kelvin Mwalingo wakati wa ibada ya kumuaga.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiangalia jeneza lenye mwili wa Kelvin Mwalingo wakati wa Ibada ya kumuombea kabla ya mazishi yake.
Ndugu na jamaa wa marehemu Kelvin Mwalingo, wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wake wakitoka Hospitali ya Rufaa ya Mbeya jana, wakienda nyumbani kwao Uyole kwa Maziko.Mwalingo inadaiwa aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa vurugu hizo.
Picha Zote na Dotto Mwaibale

0 comments:

Post a Comment