SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 18, 2011

Rais Jakaya Kikwete Alipofungua Mkutano

Rais, Mh.Jakaya Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi katika kongamano la uwekezaji lililofanyika wilayani mpanda leo(jana). 
Waliokaa ni mkuu wa mkoa wa Kigoma kanali mstaafu Issa Machibya, na mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Eng.Stella Manyanya. 
Rais Jakaya Kikwete akiuzindua rasmi mtandao wa utakaoshughulikia taarifa na habari mbalimbali za uwekezaji katika ukanda wa ziwa Tanganyika huku Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa pili kutoka kulia akishuhudia, kulia kwa Rais ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya na kulia ni Dk. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu
Watoto hamjambo? ni kama rais anasema ,huku akiwapa watoto hao mkono wa salamu  
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.  
Na H@ki Ngowi 

0 comments:

Post a Comment