Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio akihutubia wakati wa kuanza kwa mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPC katika ukumbi wa Simba wa AICC jijini Arusha leo..
Bw Erio akiwa na Wakurugenzi Wakuu wastaafu wa PPF Bw. Naftali Nsemwa (shoto) na
David Mattaka ambao pia wamealikwa.
David Mattaka ambao pia wamealikwa.
Watayarishaji wa mkutano wakiweka maswala sawa
Usajili wa wanachama na wadau.
Wadau toka sekta mbali mbali wanaohudhuria mkutano huo wa siku tatu ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Bw David Mattaka akisalimiana na Marin Hassan wa TBC ambaye pia yupo jijini kikazi
Wakurugenzi Wakuu wastaafu David Mattaka (kulia) na Naftali Nsemwa wakisalimiwa na maofisa waandamizi wa PPF kabla ya kuanza kwa mkutano.
Pamoja na maafisa waandamizi pia wakurugfenzi wa taasisi zingine wanahudhuria. Wa pili toka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Dar es salaam Community Bank Bw Mkwawa na bosi wa Posta.
Maafisa toka EWURA pia wapo.
Ukumbi wa mkutano ulivyo muda huu.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio akisoma hotuba yake ya ufunguzi
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF Dkt. Kassim Meja Kapalata akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
Sehemu ya wadau wa PPF mkutanoni.
Credit To
0 comments:
Post a Comment