SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, August 15, 2011

RAMADHANI TOURNAMENT 2011 HYDERABAD MASAB TANK(INDIA)

KESHO TAREHE 16 AGOSTI VIJANA WA TANZANIA WATAJIMWAGA UWANJA WA MASAB TANK WAKIIPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA KUMENYANA NA AFGHANSTAN KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA RAMADHANI TOURNAMENT 2011 KUANZIA SAA TATU NA NUSU USIKU.
JUMUIYA YA TSAH INAWAOMBA WANAJUMUIYA WOTE KUHUDHURIA KWA WINGI BILA KUKOSA ILI KUWEZA KUIPATA SAPOTI YA KUTOSHA TIMU YETU IWEZE FANYA VIZURI HATIMAYE USHINDIN KWA MARA NYINGINE KAMA MSIMU ULIOPITA.
ASANTENI.

0 comments:

Post a Comment