
Wachezaji
wa timu ya Netiboli ya CMTU wenye jezi nyekundu wakichuana na timu ya
wanafunzi wa zamani waliowahi kusoma katika shule za Makongo na Lugalo,
katika bonanza la wanafunzi waliosoma katika shule hizo lililofanyika
jana, kwenye viwanja Leaders jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na
wanafunzi wa sasa pamoja na walimu wa shule hizo.

Msemaji
wa Bonanza hilo Mwani Nyangasa akiwapa moyo wachezaji wa timu yao ya
Makongo katika bonanza hilo lililofanyika Leaders Club Konondoni.

Wachezaji wa timu ya netiboli ya CMTU wakipasiana mpira kwa madaha.

Wanafunzi
wa Makongo wakipata maelezo ya huduma za benki ya NMB kutoka kwa
wafanyakazi wa benki hiyo, wakati wa bonanza la wanafunzi waliowahi
kusoma katika shule ya sekondari ya Makongo jana, katika viwanja vya
Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam.

Wageni
waalikwa wakiwa katika bonanza hilo kutoka kulia ni Emannuel Katambo
Mwalimu, Edgar Chibura Mwalimu, Kakumbi MS Mwalimu, Mayebe MH Mwalimuj,
Salim Dossi Naibu Mwenyekiti Baraza la Michezo Kinondoni na Mwenyekiti
wa Kwanza wa BMT, Abdul Amiri Mwalimu na WerereBugoyi Mwalimu pia.

Wanafunzi
mbalimbali wa shule za Sekondari za Makongo na Lugalo wakiwa katika
bonanza hilo, hapa wakishuhudia mpambano wa mchezo wa Netiboli tika ya
CMTU na wanafunzi wa zamani Makongo.
0 comments:
Post a Comment