Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma muda mfupi baada ya kuwasili katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski kuhudhuria kikao cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika jana jijini Dar es Salaam.Pembeni ya Rais ni wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Burundi.(Picha na Freddy Maro).
Wednesday, April 20, 2011
HATA MIMI NAJUA KUZIPIGA NGOMA!!!
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Wednesday, April 20, 2011
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment