SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 20, 2011

MKUTANO WA KUCHAMBUA MKAKATI WA SEKTA YA AFYA WA KUTUMIA MAWASILIANO KUDHIBITI UKIMWI

Mkuu wa Kitengo cha Habari Elimu na Mawasiliano cha Mpango wa Taifa wa kudhibiti Ukimwi Dkt. May Bukuku akitoa somo kwa washiriki wa semina ya Uchambuzi wa mkakati wa sekta ya afya juu ya Ukimwi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Pichani Juu na Chini ni Washiriki wa semina hiyo iliyohusisha wadau wa mkakati wa kutumia mawasiliano katika kubadili tabia ili kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

Dkt. May Bukuku akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya mkakati huo unaotoa mwongozo wa jinsi ya kuwasiliana na kutoa elimu ya namna ya kuangalia changamoto za mawasiliano katika sekta ya afya.

Na Mo Blog.

0 comments:

Post a Comment