SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, March 11, 2011

Wengi Wajitokeza Kupima Figo Siku ya Figo Duniani

Baadhi ya akina mama wakifanyiwa uchunguzi wa figo na Amina Idd wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika moja ya vibanda vilivyopo kwenye maadhimisho ya Siku ya Figo duniani kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

0 comments:

Post a Comment