SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, March 19, 2011

HARUSI YA MDAU BWANA BELLY KASAMBULA ILIVYOFANA "HONGERA SANA"

Bi harusi akiwa amepozi na msimamizi wake.
Bwana harusi akiwa amepozi na msimamizi wake.
Bwana na Bibi Kasambula walivyopendeza.
Hapa Bwana na Bibi Kasambula na Wasimamizi wao.
Wakati wa kufungua champagne ulipowadia.
Hapa wanaashiria mikono juu tuseme "CHEERS".
Bi harusi akimnywesha Bwana harusi champagne.
Bwana harusi akimnywesha Bi harusi champagne.
Bi harusi akiashiria "Jamani pete hii mmeiona ya ukweli"
Bwana harusi akivishwa pete na Bi harusi
Wakati wa keki ulipowadia.
Bwana na Bbi Kasamula wakitoka Ukumbini.
Bwana na Bbi Kasamula wakielekea Nyumbani.
Blog hii inaungana na Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki kukutakia kila la heri Belly Kasambula katika maisha yako ya ndoa na Mola aibariki ndoa yenu iwe yenye upendo na amani, Amin.

0 comments:

Post a Comment