SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, December 9, 2010

LEO NI SIKU YA UHURU
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na bango la 'Uhuru Kamili' 9 Desemba, 1961
*************

Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Sherehe za Miaka 49 ya Uhuru Leo



Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Kikwete(kushoto)akisindikizwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda alipokua akiondoka Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya kumalizika kwa Sherehe za Miaka 49 ya Uhuru wa Tanzania na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mabalozi.Picha na Mdau John Bukuku

0 comments:

Post a Comment