SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, December 13, 2010

JK AKABIDHIWA KOMBE LA CHALENJI
Nahodha wa Timu ya Taifa Tanzania Bara (Kili Stars) Shadrack Nsajigwa akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, Kombe la Chalenji Ikulu jijini Dar leo baada ya timu hiyo kuibuka Bingwa wa michuano ya Chalenji jana.Pembeni yake ni Mama Salma Kikwete na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi.
JK akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha Timu ya Kili Stars Ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.
Picha na Freddy Maro wa Ikulu

1 comments:

Nothing said...
This comment has been removed by a blog administrator.

Post a Comment