SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, November 18, 2010

BREAKING NEWS: WABUNGE WA CHADEMA WATOKA BUNGENI!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameamua kutoka nje ya Bunge mara baada ya Rais wa nchi, Jakaya Kikwete kuanza kuhutubia Bungeni. Wabunge hao wametimiza adhima yao ya kutoka nje ya Bunge kama walivyoahidi hapo mwanzo kwa kile kinachodaiwa kuwa hawamtambui Dkt Kikwete kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JK hivi sasa anaendelea na hutuba yake kama kawaida. 
na http://www.globalpublishers.info/

0 comments:

Post a Comment