SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, August 22, 2010

LEO NI LEO MTANANGE KATI YATANZANIA NA AFGHANSTAN HYDERABAD INDIA!!
****RAMADHAN TORNAMENT|****
Kikosi  kazi cha Tanzania. 
Leo ndio leo asiye na mwana aeleke jiwe ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenda kabumbu sasa imefika. 
Leo saa mbili na nusu usiku huu  katika uwanja  wa Masab Tank vijana wa Tanzania watashuka dimbani hapo kupambana na timu ya Afghanistan,
Hivyo basi uongozi wa TSAH unawaomba wanajumuiya kujitokeza kwa wingi bila kukosa kuishangilia timu yetu msisahau kuja na mavuvuzela. 
 Mungu ibariki Tanzania,Watanzania TSAH,na Watu wake,Amin.
Imeandikwa na ALLY S. MGIDOS.

1 comments:

Ebou's said...

http://tzswahilivillage.blogspot.com/

Post a Comment