JK akimkaribisha ikulu jijini Dar Meya wa jiji la
Instanbul, Uturuki, Mstahiki Kadir Topbas jana jioni.Baadaye viongozi
hao wawili walifanya mazungumzo Mwenyekiti wa Shirika la ndege la uturuki Bwana Hamdi
Topgu akimpa zawadi JK wakati alipomtembelea Ikulu jijini Dar.
Mwenyekiti huyo wa Shirika hilo la Ndege alifuatana na Meya wa jiji la
Instabul.Shirika la ndege la Uturuki linaanzisha safari za ndege za moja
kwa moja kutoka Tanzania hadi Uturuki.Jk akiwaonesha mandhari ya ikulu wageni wake Meya wa
jiji la Instanbul Bwana Kadir Topbas(kulia) na Mwenyekiti wa Shirika la
Ndege la Uturuki Bwana Hamdi Topgu wakati walipomtembelea ikulu jijini
Dar michuzi blog
0 comments:
Post a Comment