Mwana anaitwa Proveli Paragon Hip Hop Artist,Mbongo ambaye
alianzia mishemishe za muziki nchini Canada zaidi ya miaka 10 sasa
amerudi Bongo na Target yake ni kuunganisha Hip Hop ya Tanzania na ya
Canada.Kwani mwana ameshafanya show na wakali kama Flo-Rida,Lil
Wayne,NAS walipokwenda nchini Canada na wengine kibao.Mwana ana track kibao zinazoshika kama Dirty Lover,na track mpya Slow Burning ambazo amerekodi nchini Canada,na sasa yuko kwenye mikakati ya kumalizia Recording Studio yake pande za Makongo Juu itakayoitwa PEPONI RECORDS.




0 comments:
Post a Comment