SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 30, 2010

MZEE PWAGU AZIKWA JANA KATIKA MAKABURI YA KIGOGO

Msanii mkongwe wa maigizo ya redioni na kwenye runinga nchini Rajabu Hatia maarufu Mzee Pwagu amezikwa katika makaburi ya kigogo mida ya saa saba mchana wa leo.Mamia ya waombelezaji walikusanyika nyumbani kwa marehemu kigogo na baadae kuelekea makaburini kwa ajili ya maziko.Wasanii wengi walijitokeza katika kumsindikiza katika safari yake hiyo ya mwisho.Mungu amlaze mahali pema peponi 'Amen'

Mamia ya waombelezaji wakielekea makaburini

Safari ya kuelekea makaburini

Wakisubiria kubeba jeneza

Jeneza likiwa juu

Makaburini

Mkurugenzi wa zamani wa kaole Chrissant Mhenga kushoto akiwa na Mzee Small na JB mazikoni

Ray na Raisi wa wasanii nchini Chiki Mchoma

Mzee huyu alikuwa analia makaburini kwa uchungu sana

Wakati wa maziko

Maziko yakiendelea

Wasanii mbalimbali wakibadilishana mawazo

Dk Cheni akiwa Rais wa wasanii

Utani ulikuwepo kidogo makaburini hapa anaonekana Jotti na Mpoki wakimtania kingwendu

Haya ndiyo makazi ya mwisho ya Mzee wetu Mzee Pwagu Mungu amuweke mahali pema peponi Amen


Tukiwa tunaondoka makaburini nilikutana na kiongozi wangu wa kaole zamani Chrissant Mhenga akiwa na Mzee Small nikawaomba tupige picha nikiwa na Chopa
Na Ray The Greatest.

0 comments:

Post a Comment