SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, May 15, 2010

HII NDIO BONGO

Image
Baadhi ya Makampuni yanayokabidhiwa zabuni za kufanya safi katika barabara jijini Dar es Salaam hazina vitendea kazi kama alivyokutwa mfanyakazi huyu akizoa mchanga katika barabara ya Kilwa kwa kutumia kipande kidogo cha bati. (Picha na Yusuf Badi).

0 comments:

Post a Comment