
Jana
ilikuwa ni B/day Party ya mwanadafada Loveness Love aka Diva, party hii
fupi ambayo alialika watu 40 tu ilifanyika nyumbani kwao pale Mikocheni.

Barnaba
kutoka THT yeye ndiye aliyeimba wimbo wa happy B,day


Wageni
waalikwa wakiwa wameketi kusikilizia ratiba zinakwendaje.

Wakwanza
kulishwa keki alikuwa ni mama

Akafuatia
kaka mtu

Mdogo
wa Diva alifuatia

Anastazia
mdogo wa diva mwingine alifuatia

Mdogo
wa mwisho wa Diva Brya alifunga duru kwa upande wa familia

Mtu
mzima B12 alifungua duru la wageni waalikwa

Babra
Hassan hakuwa nyuma

Dj
Venture ilimfikia zamu yake

Akaja
mtu mzima Fid Q kulishwa keki

Martin
alifuata

Amini
na Barnaba wakafuatia

Akaja
mwanadada Lina

Dj
Choka kwenye maswala haya hawezi kukosa kabisaaaaaaa

Braza
Gill ingawa alichelewa lakini alilishwa keki

Michael
akafunga dimba
0 comments:
Post a Comment