SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label wanawake nchini watakiwa kujiamini sambamba na kuwalea watoto wao katika maadili mema. Show all posts
Showing posts with label wanawake nchini watakiwa kujiamini sambamba na kuwalea watoto wao katika maadili mema. Show all posts

Monday, January 20, 2014

wanawake nchini watakiwa kujiamini sambamba na kuwalea watoto wao katika maadili mema

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe za Maulid kwa
wanawake wa mkoa wa Dar es salaam, kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume
Muhammad (S.W.A), Aisha Sururu (wa pili kushoto), akifuatilia jambo
katika sherehe hizo, zilizoshirikisha na wanawake kutoka mkoa wa Pwani.