SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Masidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi. Show all posts
Showing posts with label Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Masidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi. Show all posts

Tuesday, March 6, 2012

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Masidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo Cha UN Women,Mr John Hendra

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Masidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo(06/03/2012)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo(06/03/2012)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo.(06/03/2012) ambapo pia maafisa mbalimbali wa Serikali walihudhuria.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar