SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Rais Jakaya Kikwete Awaongoza Viongozi Mbalimbali na Mamia ya Waombolezaji Kumfariji Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Sophia Simba kwa Kufiwa na Mwanae Leeford Simba. Show all posts

Sunday, March 9, 2014

Rais Jakaya Kikwete Awaongoza Viongozi Mbalimbali na Mamia ya Waombolezaji Kumfariji Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Sophia Simba kwa Kufiwa na Mwanae Leeford Simba

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba huko Mikocheni jijini Dar es Salaam.Marehemu Leeford Simba anatarajiwa kuzikwa jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Leeford Simba amezikwa jioni ya jana  kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.